Home
KiSwahili Homepage
Prevent Genocide International 

Mktaba wa kuzuia na adhabu dhidi ya uhalifu wa mauaji ya halaiki kuu ya watu
Convention on the Prevention and Punishment of the Crime of Genocide
DRAFT TEXT

Adopted by Resolution 260 (III) A of the U.N. General Assembly on 9 December 1948.
Iliyokubaliwa na uthabiti nambari mia mbili sitini (260) sehemu ya tatu (A)
ya kikao cha umoja wa kimataifa mnamo Decemba tisa mwaka wa elufu moja mia tisa arobaine na nane (1948)
Entry into force: 12 January 1951.
Na ambayo ilifanywa sharti mnamo januari kumi na mbili mwaka wa elufu moja mia tisa na hamsini na moja (1951)

List of parties to the Convention (UNHCHR status report),
Orodha ya wanachama kwenye mkaba huu Kulingana na repoti
ya shirika la wakimbizi la umoja wa kimataifa (UNHCR) ni kama inavyopatikana kwenya kurasa hizi...
Nations that are NOT party to the Convention (this website)
Mataifa ambayo si wanachama wa mktaba huu yanapatikana katika kurasa hizi...

Article 2: In the present Convention, genocide means any of the following acts committed with intent to destroy, in whole or in part, a national, ethnical, racial or religious group, as such:
Kifungu cha Pili: Katike mktaba uliopo sasa, mauwaji ya halaiki kuu ya watu humanisha vitendo vifuatavyo na ambavyo vinatendwa kwa nia ya kuharibu. Kwa uzima ama kwa sehemu, mtu wa taifa, ujamaa ama kikudi cha dini, kama:-


(a) Killing members of the group;
(a) Kuwaua wanachama wa jamii

(b) Causing serious bodily or mental harm to members of the group;
(b) Kusababisha madhara makubwa ya mwili ama akili kwa wanachama wa jamii hiyo.

(c) Deliberately inflicting on the group conditions of life calculated to bring about its physical destruction in whole or in part;
(c) Kukusudia kutesa jamii kwa kuvamia vitu vya lazima kimaisha ambayo inaleta kuangamizwa kwa jamii hiyo kwa ujumula ama kisehemu.

(d) Imposing measures intended to prevent births within the group;
(d) Kuweka sheria inayokusudiwa kuzuia uzazi katika jamii

(e) Forcibly transferring children of the group to another group.
(e) Kuwahamisha watoto kwa nguvu kutoka jamii moja hadi nyingine.

Article 3: The following acts shall be punishable:
Kifungu cha tatu: Vitendo vifuatavyo vitaadhibiwa:-

(a) Genocide;
(a) Mauaji ya halaiki kuu ya watu

(b) Conspiracy to commit genocide;
(b) Kufanya shauri mbaya ya kutenda mauaji ya halaiki kuu ya watu

(c) Direct and public incitement to commit genocide;
(c) Kuchochea ama kuagiza uma kutenda mauaji ya halaiki kuu ya watu

(d) Attempt to commit genocide;
(d) Jaribio la kutenda mauaji ya halaiki kuu ya watu

(e) Complicity in genocide.
(e) Ushirika katika mauaji ya halaiki kuu ya watu

English Text: U.N.T.S. (United Nations Treaty Series), No. 1021, vol. 78 (1951), p. 277.


Relevant Links:

The Genocide Convention in 40 languages



Law : Domestic Laws | ICC | Information on the Genocide Convention   
Punishment
: Domestic Prosecution | Extradition
Home | Genocide? | Law | Prevention | Punishment | Education | Action | About Us 
  Global News Monitor | Americas | Europe | Africa | Asia-Pacific

Prevent Genocide International
info@preventgenocide.org